MAFUNZO YA KUJENGA UWEZO WA TCCIA

Chemba ya Wafanya Biashara,Wenye Viwanda na Kilimo Tanzania(TCCIA) kwa kushirikiana na Shirika la Maendeleo la Ujerumani (GIZ Business Scouts for Development),wameandaa mafunzo kwa ajili ya kuwajengea uwezo wenyeviti pamoja na maafisa watendaji wa TCCIA katika mikoa yote 26 ya Tanzania Bara kwa siku mbili yaani kwanzia tarehe 9 Septrmba hadi tarehe 10 Septemba 2021.